• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanjiru avunja rikodi Marathon ya Amsterdam

    (GMT+08:00) 2016-10-18 09:02:31

    Mwanariadha wa Kenya, Daniel Wanjiru, ameshinda kwa kuandika muda bora kwenye mashindano ya arobaini ya TCS ya Marathon ya Amsterdam nchini Uholanzi. Katika mashindano hayo, Wanjiru alitumia muda wa saa 2:05.21 na kuipiku rekodi ya mshindi mara tatu, wa Marathon ya Amsterdam Wilson Chebet ya saa 2:05.36 mwaka 2013.

    Wanjiru alifuatiwa na Wakenya wenzake, Sammy Kitwara, aliyetumia saa 2:05.45, na Marius Kimutai, aliyetumia saa 2:05.47.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako