• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kimbunga cha Sarika chaikumba sehemu ya kusini ya China

    (GMT+08:00) 2016-10-18 20:59:13

    Kimbunga cha Sarika kimekikumba kisiwa cha Hainan kusini mwa China, na kuleta mvua na upepo mkali kisiwani humo.

    Kimbunga hicho chenye upepo wa kilometa 162 kwa saa kiliikumba sehemu ya pwani mapema asubuhi.

    Wakazi zaidi ya elfu 13 wanaoishi kwenye maeneo ya mabondeni wamehamishiwa, na kwenye uwanja wa ndege wa Haikou ndege 250 zilikatisha safari, na huduma zilitarajiwa kuanza baadaye.

    Mbali na kukwamisha usafiri wa umma kimbunga hicho pia kimesababisha shule kusitisha masomo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako