• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha China cha anga ya juu chaungana na maabara ya anga ya juu

    (GMT+08:00) 2016-10-19 09:03:54

     

    Chombo cha China cha anga ya juu kinachobeba wanaanga wawili kimeungana kwa mafanikio na maabara ya anga ya juu ya Tiangong No.2. Hii ni mara ya kwanza kwa maabara ya Tiangong No.2 kuungana na chombo hicho kinachojulikana kama Shenzhou-11 tangu iliporushwa tarehe 15 Septemba.

    Wanaanga wawili wa China Jing Haipeng na Chen Dong wameingia kwenye maabara hiyo kutoka kwenye chombo cha Shenzhou-11.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako