• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la muungano linaloongozwa na Saudi Arabia lalaani wapiganaji wa Houthi kukiuka makubaliano ya kusimamisha mapambano

    (GMT+08:00) 2016-10-21 10:16:18

    Jeshi la muungano linaloongozwa na Saudi Arabia limesema tangu makubaliano ya kusimamisha mapambano nchini Yemen yalipoanza kutekelezwa, wapiganaji wa Houthi limekiuka mara kwa mara makubaliano hayo, na kufanya mashambulizi mengi dhidi ya Saudi Arabia.

    Msemaji wa jeshi la muungano amesema jeshi la Houthi limekiuka makubaliano ya kusimamisha mapambano mara 43, na kurusha makombora dhidi ya ardhi ya Saudi Arabia, na kulifanya jeshi la muungano lililazimike kujibu mshambulizi.

    Msemaji huyo ameongeza kuwa hata hivyo jeshi la muungano litaendelea kuheshimu makubaliano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako