• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu wasiopungua 13 wafariki kwenye ajali ya basi la utalii kusini mwa California

    (GMT+08:00) 2016-10-24 10:18:58

    Watu wasiopungua 13 wamekufa na wengine 31 wamejeruhiwa kwenye ajali ya basi la watalii kugongana na lori, iliyotokea kusini mwa California jana asubuhi. Basi hilo liligongana na lori la kusafirisha vifaa vya uchimbaji mafuta karibu na Palm Springs, maili 100 mashariki mwa Los Angeles.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako