• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China ampa pole mwenzake wa Cameroon kufuatia ajali ya treni

    (GMT+08:00) 2016-10-24 19:18:48

    Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za rambirambi kwa mwenzake wa Cameroon Paul Biya kufuatia ajali ya treni iliyotokea nchini humo, ambayo hadi sasa imesababisha vifo vya watu 79. 

    Kwenye salamu zake, rais Xi kwa niaba ya serikali ya China na wananchi wake aliomboleza vifo vya watu waliofariki na kuwapa pole watu waliojeruhiwa na familia za wahanga.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako