• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tanzania: uwekezaji katika hali ya hewa bado uko chini

    (GMT+08:00) 2016-10-24 20:26:06

    Viongozi wa biashara wanasema uwekezaji katika hali ya hewa nchini Tanzania bado uko chini lakini juhudi za sasa za Rais John Magufuli kurejesha nidhamu katika utumishi wa umma na kuboresha utoaji wa huduma kumeanza kuuza matunda.

    Ripoti ya mwaka wa 2015 iliyotolewa siku ya jumamosi inaonyesha ufisadi ni suala amablo alijashughulikiwa sana na serikali.

    Utafiti, ambao uliendeshwa kati ya mwezi Julai na Agosti mwaka wa 2015, pia unaonyesha kufanya biashara nchini Tanzania imekuwa gumu sana na kwamba serikali inaweka jitihada za kutosha kushughulikia masuala muhimu.

    utafiti uliotolewa na sekta binafsi Tanzania (TPSF) inasema mambo ambayo yanachangia kutokua kwa biashara nchini Tanzania ni pamoja na kodi, kiwango cha kodi, ufisadi na upatikanaji wa fedha.

    hata hivy kumekewa na mabadiliko kiasi tangu Dr Magufuli kuchukua uongozi mwaka mmoja uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako