• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: asilimia  10 ya bajeti ya  maendeleo  ndio imetumika na robo ya mwaka imeisha

    (GMT+08:00) 2016-10-24 20:26:23

    Asilimia 10 tu, ya bajeti ya maendeleo nchini Kenya ndizo zimetumika.

    Hii inaweza kuathiri ukamilishaji wa miradi na ukuaji wa uchumi.

    habari kutoka hazina ya fedha inaonyesha kwamba mwishoni mwa mwezi septemba, jumla ya sh bilioni 41.8 ndio zilitumika kwenye maendeleo dhidi ya bajeti ya mwaka ya Sh416 bilioni.

    utumiaji wa polepole wa fedha za maendeleo katika mwanzo wa mwaka umelaumiwa uchelewaji wa kuanza kwa miradi.

    Hata hivyo Serikali bado imebakia mnunuzi kubwa wa bidhaa na huduma ambayo ina athari kwenye ukuaji wa uchumi.

    Tofauti na mwaka jana wakati matumizi ya mradi midogo ililaumiwa juu ya ukosefu wa pesa, habari ya hazina ya fedha inaonyesha kwamba serikali ilikuwa imebakia na Sh bilioni 69.4 mwishoni mwa mwezi Septemba.

    Ripoti iliyotolewa siku ya Ijumaa, inaonyesha kuwa jumla ya wizara, idara na wakala 21 kati ya 50 hawaja pokea fedha yoyote ya maendeleo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako