• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: benki ya Centenary imetoa mafunzo ya kibiashara  kwa vijana 200

    (GMT+08:00) 2016-10-24 20:27:07

    Vijana wapatao 200 nchini kote wamepokea mafunzo ya kifedha kutoka Benki ya Centenary kwa ushirikiano na shirika la kimataifa la leba (ILO).

    Vijana walipata mafunzo ya bajeti, usimamizi wa biashara miongoni mwa zengine, ili kuwawezesha vijana hao kutumia nguvu zao na elimu yao wao katika fursa za biashara.

    Na mafunzo haya yana lenga kuwawezesha vijana kuwa na uwezo wa kukuza biashara zao na kushinda chanagmoto za kibiashara.

    Mpango huu ulianza mwaka 2012, na umeweza kuwapa mafunzo zaidi ya vijana 1,000 nchini Uganda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako