• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RwandAir inapanga kuanza safari zake kuelekea London ifikapo 2017

    (GMT+08:00) 2016-10-24 20:31:53

    RwandAir inapanga kuanza safari zake kuelekea London ifikapo mwaka wa 2017, hii ni kulingana na John Mirenge, afisa mtendaji mkuu wa shirika hilo.

    Mirenge anasema ndege ya kitaifa ilikuwa hivi majuzi ikifanya mazungumzo na mamlaka ya anga ya Uingereza kuanza safari zake kuelekea Gatwick.

    aidha anasema hatua hiyo, ni sehemu ya mipango ya upanuzi wa shirika hilo la ndege.

    Mwaka jana, maafisa wa ndege hiyo waliiambia bunge kwamba walikuwa katika hatua ya mwisho na wanatafuta viidhinishaji kuanza safari za kwenda mikoa hii miwili kama sehemu ya upanuzi na RwandAir.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako