• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bw. Ban Ki-Moon asisitiza kuunga mkono kazi za Umoja wa Mataifa katika muda wa mpito

    (GMT+08:00) 2016-10-25 10:29:01

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Ban Ki-Moon tarehe 24 alitoa hotuba kuhusu siku ya Umoja wa Mataifa akiwataka watu wamuunge mkono katibu mkuu mteule Bw. António Guterres ili kuhimiza amani na maendeleo ya dunia. Amesema migogoro ya Mashariki ya Kati, Sudan Kusini na kanda ya Sahel bado haijatatuliwa. Wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa wataendelea kutoa msaada kwa watu wanaouhitaji.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako