• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mabaharia wa China waliotekwa nyara warudi China

    (GMT+08:00) 2016-10-25 10:36:37

    Mabaharia 9 wa China waliotekwa nyara na maharamia wa Somalia jana walipanda ndege kurudi China kutoka Nairobi, na mwingine mmoja anapatiwa matibabu huko Nairobi. Mabaharia 10 wa China waliwasili huko Nairobi kwa msaada wa idara husika ya Umoja wa Mataifa. Mabaharia hao ni miongoni mwa mabaharia 26 kutoka Asia walioachiwa huru juzi na maharamia wa Somalia baada ya kushikiliwa kwa miaka mitano.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako