• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maonesho ya 11 ya kimataifa ya safari za anga na anga ya juu yafunguliwa China

    (GMT+08:00) 2016-11-02 10:20:41

    Maonesho ya 11 ya kimataifa ya safari za anga na anga ya juu yanafanyika mjini Zhuhai mkoani Guangdong kuanzia tarehe 1 hadi tarehe 6 mwezi Novemba. Maonesho hayo yanafanyika wakati China inaadhimisha miaka 60 ya tangu China ianzishe shughuli zake za safari za anga ya juu. Kampuni zaidi ya 700 kutoka nchi na sehemu 42 wanashiriki kwenye maonesho hayo zikiwa na ndege na teknolojia za safari za anga ya juu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako