• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gurdiola asema ushindi wao dhidi ya Barcelona ni mavuno makubwa

    (GMT+08:00) 2016-11-03 09:44:57

    Kocha wa Manchester City Pep Gurdiola amesema ushindi wa klabu hiyo wa mabao 3-1 dhidi ya Barcelona ni ushinidi mkubwa kwa klabu yake.

    Manchester City hawajawai kuwashinda Barcelona kwenye mechi tano ambazo zimepita na Guardiola anasema ni jambo zuri kwamba kwa mara ya kwanza wamecheza na klabu bora zaidi duniani na kuwashinda.

    Ushindi wa Man City unawaweka katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi nyuma ya Barcelona ikiwa sasa inahitaji kushinda mara moja tu katika mechi mbili zilizosalia kuweza kusonga mbele kwa kundi la timu 16 bora. Guardiola ambaye alishinda kombe mara mbili akiwa Meneja wa Barcelona, alipata kipigo wakati Man City iliposhindwa kwa mabao 4-0 uwanja wa Nou Camp mwezi uliopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako