• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China azungumza na wanaanga kwenye maabara ya anga za juu

    (GMT+08:00) 2016-11-09 18:21:45

    Rais Xi Jinping wa China leo amezungumza na wanaanga wawili waliomo kwenye maabara ya anga za juu ya Tiangong-2 katika Kituo cha Kudhibiti Usafiri wa Anga za Juu cha Beijing.

    Rais Xi amewajulia hali wanaanga hao na kuwataka waendelee na juhudi na kushirikiana ili kukamilisha majukumu ya baadaye bila ya matatizo.

    Wanaanga hao, Jing Haipeng na Chen Dong walianza safari ya anga za juu kwenye chombo cha Shenzhou-11 tarehe 17, Oktoba, na kuingia kwenye maabara ya Tiangong-2 tarehe 19, Oktoba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako