• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 7 wafariki baada ya treni kuacha njia mjini London

    (GMT+08:00) 2016-11-10 09:55:01

    Watu 7 wamefariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamejeruhiwa baada ya treni ya abiria kuacha njia na kupinduka kusini mwa London. Dereva wa treni hiyo ya mjini ya kampuni ya Croydon Tramlink amekamatwa kwa tuhuma za mauaji ya bila kukusudia, na sasa anashikiliwa na polisi. Mamlaka ya uchunguzi wa ajali za reli nchini humo imesema treni hiyo ilikuwa inasafiri kwa kasi kuliko inayoruhusiwa, na inachunguza kama dereva alikuwa amelala wakati wa ajali.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako