• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi yuan bilioni 10 zatumika ndani ya dakika 7 tu baada ya kuanza kwa tamasha la kibiashara la Novemba 11

    (GMT+08:00) 2016-11-11 10:10:47

    Thamani ya biashara ya bidhaa zilizouzwa kwenye mtandao wa internet wakati wa siku ya punguzo kubwa imezidi dola bilioni 1.47 za kimarekani, dakika 7 tu baada ya siku hiyo kuanza. Punguzo hilo hutolewa tarehe 11 Novemba kila mwaka na tovuti ya Taobao ya kampuni ya Alibaba inayohifadhi maduka mbalimbali yanayofanya biashara kupitia mtandao wa Internet. Takwimu zinaonesha kuwa asilimia 85 ya manunuzi hayo yalifanywa kwa njia ya simu za mkononi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako