• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vijana nchini Somalia watakiwa kuendeleza juhudi za amani

    (GMT+08:00) 2016-11-11 19:46:03

    Shirikisho la Vijana wa Afrika (PYU) limetoa wito kwa viongozi wa Afrika kuwashawishi vijana nchini Somalia kuendeleza mapendekezo ya vijana kuhusu amani kama sehemu ya juhudi za kuwafanya waondokane na ugaidi.

    Wajumbe kutoka Shirikisho hilo ambao wamemaliza ziara rasmi ya siku tatu nchini Somalia, pia wamewataka viongozi wa Afrika kuwahusisha vijana katika masuala ya utawala na amani ili kuleta mshikamano nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako