• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • RwandAir yanunua Boeing 737-800 Next Gen

    (GMT+08:00) 2016-11-17 20:15:08

    Shirika la ndege la Rwanda RwandAir limenunua ndege moja aina ya Boeing 737-800 Next Gen ikitarajia kuboresha ushindani wake katika safari za anga duniani .

    RwandAir imekuwa ya kwanza barani Afrika na ya pili duniani kununua ndege ya aina hiyo ambayo imewekwa vifaa vya kuwezesha abiria kutumia huduma za intaneti kwa njia ya WiFi.

    Ndege hiyo ina iuwezo wa kubeba abiria 154.

    Waziri wa uchukuzi wa Rwanda Alexis Nzahabwanimana, amesema ndege hiyo mpya itawezesha shirika hilo kupanua safari zake barani Asia, Ulaya na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako