• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China awasili nchini Ecuador na kuanza ziara yake ya tatu ya Latin Amerika tangu mwaka 2013

    (GMT+08:00) 2016-11-18 10:16:01

    Rais Xi Jinping wa China amewasili huko Quito na kuanza ziara rasmi nchini Ecuador, ambayo ni ziara yake ya tatu barani Latin Amerika tangu aingie madarakani mwaka 2013. Mbali na Ecuador, rais Xi pia atafanya ziara nchini Peru na Chile, ambako atahudhuria mkutano wa 24 wa viongozi wa kiuchumi wa APEC Novemba 19 na 20 huko Lima nchini Peru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako