• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Shambulizi dhidi ya shule moja ya Aleppo, Syria lasababisha vifo vya wanafunzi saba

    (GMT+08:00) 2016-11-21 09:59:39

    Polisi nchini Syria wamesema shambulizi la mizinga dhidi ya shule moja huko Aleppo, kaskazini mwa Syria limesababisha vifo vya wanafunzi 7 na wanafunzi wengine 19 na mwalimu mmoja wa kike kujeruhiwa. Polisi pia wamesema, wapiganaji mashariki mwa Aleppo wameshambulia maeneo mengi ikiwemo shule na hospitali katika eneo linalodhibitiwa na jeshi la serikali. Mbali na vifo na majeruhi kwenye shule hiyo, shambulizi hilo pia limesababisha kifo cha mtu mmoja na wengine 12 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako