• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Treni ya kwanza duniani inayotumia nishati mpya inayoning'inia chini ya reli ya juu yafanya safari za majaribio nchini China

    (GMT+08:00) 2016-11-22 18:31:34

    Treni ya kwanza duniani inayotumia betri za Li-ion inayoning'inia chini ya reli ya juu imefanya safari za majaribio mjini Chengdu China.

    Treni hiyo inaendeshwa katika reli yenye umbo la U katika eneo la uendelezaji wa uchumi na teknolojia la uwanja wa ndege wa Shuangliu mjini Chengdu. Reli hii ya majaribio inaundwa na majengo na vifaa mbalimbali vikiwemo stesheni, reli mbili, treni na gereji, inaweza kupima uwezo wa treni kwenye njia inayonyooka, inayopinda na mteremko.

    China ina haki kamili ya kumiliki mfumo huu mpya wa kisasa wa usafiri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako