• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mgomo wa rubani wawaathiri abiria zaidi ya laki 1 nchini Ujerumani

    (GMT+08:00) 2016-11-23 09:53:28

    Marubani wa Shirika la ndege la Ujerumani Lufthansa wametangaza kuwa watafanya mgomo leo. Vyombo vya habari vya Ujerumani vimesema safari zaidi ya 800 za ndege za shirika hilo zimefutwa kutokana na mgomo huo, na kuathiri abiria wapatao laki 1. Wafanyakazi wa shirika la ndege la Eurowings lililoko chini ya shirika la Lufthansa jana walifanya mgomo katika viwanja vya Dusseldorf na Hamburg, ambapo safari 60 za ndege na abiria zaidi ya elfu 4 waliathiriwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako