• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa 27 wa kamati ya pamoja ya biashara kati ya China na Marekani wafanyika huko Washington

    (GMT+08:00) 2016-11-24 10:18:06

    Mkutano wa 27 wa kamati ya pamoja ya biashara kati ya China na Marekani umefanyika huko Washington, Marekani. Naibu waziri mkuu wa China Bw. Wang Yang, waziri wa biashara wa Marekani Bw. Penny Pritzker na mjumbe wa biashara Bw. Michael Froman waliendesha mkutano huo kwa pamoja. Katika mkutano huo China na Marekani zimejadili ajenda 12 muhimu kuhusu uhusiano wa kiuchumi na kibiashara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako