• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mkutano wa wakuu wa vyombo vya habari vya China na Latin Amerika wafungwa

    (GMT+08:00) 2016-11-24 18:24:40

    Mkutano wa kwanza wa wakuu wa vyombo vya habari vya China na Latin Amerika wenye lengo la kukuza ushirikiano wa vyombo vya habari vya pande hizo mbili umefungwa mjini Santiago, Chile.

    Akizungumza kwenye mkutano huo, naibu mkuu wa idara ya uenezi ya Chama cha Kikomunisti cha China Huang Kunming ametoa mwito kwa vyombo vya habari vya China na nchi za Latin Amerika kuingiza nguvu mpya za uhai za kuendeleza uhusiano kati ya pande hizo . Pia vinapaswa kusaidia kuongeza maelewano kati ya watu wa China na Latin Amerika ili kuandaa mazingira mazuri ya kijamii na maoni ya raia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako