• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na naibu waziri mkuu wa Hispania

    (GMT+08:00) 2016-11-25 10:37:47

    Rais Xi Jinping wa China amekutana na naibu waziri mkuu wa Hispania Bibi Soraya Sáenz katika kisiwa cha Grand Canaria nchini Hispania. Rais Xi amesema China na Hispania zinatakiwa kudumisha mawasiliano ya viongozi, kuzidisha maelewano na uaminifu wa kisiasa, na kupanua ushirikiano, na kuongeza ushirikiano kwenye sekta za kilimo, sayansi na teknolojia, nishati safi na utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako