• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China na Djibouti zajadili njia za kuimarisha ushirikiano wa kina wa pande zote

    (GMT+08:00) 2016-11-25 19:23:40

    China na Djibouti zimejadili njia zaidi za kuimarisha uhusiano wa pande mbili na ushirkiano wa kina wa pande zote katika maeneo mbalimbali, ikiwemo jeshi.

    Makamu mwenyekiti wa kamati kuu ya kijeshi ya Chama cha Kikomunisti cha China Fan Changlong ambaye yuko ziarani nchini Djibouti, amesema, China iko tayari kufanya kazi na Djibouti kutekeleza makubaliano muhimu yaliyofikiwa na marais wa China na Djibouti, na kuendeleza uhusiano kati ya nchi hizo ufikie ngazi mpya. Pia amesema, uhusiano wa majeshi ya nchi hizo mbili umekuwa ukiendelea vizuri katika miaka ya karibuni.

    Fan ameongeza kuwa, China iko tayari kufanya juhudi kwa pamoja na Djibouti kuendelea kuhimiza maendeleo mazuri na tulivu ya uhusiano kati ya majeshi ya nchi hizo mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako