• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mamlaka ya China kuhusu kisiwa cha Huangyan haitabadilika

    (GMT+08:00) 2016-11-25 19:25:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China Geng Shuang amesema mamlaka ya China kuhusu kisiwa cha Huangyan haibadiliki.

    Geng amesema China inazingatia urafiki wake na Ufilipino na imechukua hatua mwafaka kwa wavuvi wa Ufilipino kufanya uvuvi kwenye bahari zilizo karibu na kisiwa cha Huangyan. Ameongeza kuwa uhusiano kati ya nchi hizo umeboreshwa baada ya rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino kufanya ziara nchini China, ambapo pande hizo mbili zilifikia makubaliano ya kurudisha mazungumzo na mashauriano kuhusu suala la Bahari ya Kusini ya China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako