• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Zaidi ya watu 10 wafariki dunia baada ya bomu kulipuka sokoni mjini Mogadishu

    (GMT+08:00) 2016-11-27 18:16:22

    Zaidi ya watu 10 wamepoteza maisha mjini Mogadishu baada ya bomu kulipuka katika eneo la soko karibu na chuo cha zamani cha jeshi la anga cha Somalia.

    Kwa mujibu wa taarifa ya polisi imesema kuwa, bomu hilo limelipuka katika soko lenye shughuli nyingi na wahanga zaidi ni raia na bado idadi kubwa ya majeruhi haijatambulika.

    Naye afisa wa polisi Ahmed Farah amesema, kikosi cha usalama cha Somalia kimekwisha wasili kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako