• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwakilishi maalumu wa rais wa China aenda Cuba kutoa rambirambi kufuatia kifo cha Fidel Castro

    (GMT+08:00) 2016-11-30 17:35:08

    Mwakilishi maalumu wa rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni makamu wa rais wa China Bw. Li Yuanchao jana amekwenda Cuba kutoa salamu za rambirambi kufuatia kifo cha kiongozi wa zamani wa nchi hiyo, Fidel Castro.

    Bw. Li Yuanchao amesema Fidel Castro ni mwanzilishi wa chama cha kikomunisti cha Cuba na mambo ya kisoshalisti ya nchi hiyo, pia ni kiongozi wa mfano kwa watu wa Cuba, alitoa mchango mkubwa kwa watu wa Cuba na mambo ya kisoshalisti duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako