• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfalme wa eneo la Rwenzururu nchini Uganda afunguliwa mashtaka ya mauaji

    (GMT+08:00) 2016-11-30 18:42:20

    Mahakama ya kijeshi nchini Uganda imemfungulia mashtaka ya mauaji Mfalme wa Rwenzururu nchini humo Charles Wesley Mumbere baada ya kutokea mapigano kati ya vikosi vya usalama na wapiganaji katika eneo hilo ambapo watu 62 wameripotiwa kuuawa. Jeshi la nchi hiyo limesema linaendelea na uchunguzi wa kosa hilo.

     

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako