• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Putin asema uhusiano wa kiwenzi kati ya Russia na China ni muhimu kwa kuhakikisha utulivu wa dunia

    (GMT+08:00) 2016-12-02 17:47:55

    Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, uhusiano wa kiwenzi wa ushirikiano wa kimkakati kwa pande zote kati ya Russia na China ni muhimu sana kwa kuhakikisha utulivu wa kikanda na dunia nzima, na uhusiano huo umekuwa mfano wa ushirikiano wa kimataifa.

    Rais Putin amesema, ushirikiano wa kunufaishana nchi hizo mbili kwenye sekta za biashara, uwekezaji, nishati na teknolojia ya juu unaimarishwa kila mwaka.

    Rais Putin pia amesema, Russia iko tayari kushiriki kwenye utatuzi wa masuala ya kikanda na ya kimataifa kwa kiasi mwafaka, na kwamba nchi yake haipendi kupambana na nchi yoyote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako