• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya sarafu ya China Yuan dhidi ya dola ya kimarekani yapanda

    (GMT+08:00) 2016-12-07 18:27:21

    Thamani ya sarafu ya China Yuan dhidi ya dola ya kimarekani imepanda baada ya kushuka kwa kasi na kufikia Yuan 6.9 kwa dola 1.

    Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Uwekezaji wa Fedha za Kigeni ya China Tan Yaling amesema, licha ya uwezekano wa kushuka, thamani ya Yuan huenda itaendelea kupanda kabla ya mwisho wa mwaka huu. Amefafanua sababu za utabiri huo akisema kwanza kushuka kwa thamani ya sarafu ya China kunapaswa kudhibitiwa kwa asilimia nne hadi tano kwa mwaka mzima, na pia dola ya kimarekani inaweza kushuka huku Yuan ikipanda tena.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako