• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Serikali ya Syria yadhamiria kutwaa tena mji wa Aleppo

    (GMT+08:00) 2016-12-08 10:09:24

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema, serikali imefikia uamuzi wa kutwaa tena udhibiti wa sehemu zote za mji wa Aleppo kaskazini mwa nchi hiyo kutoka kwa waasi. Gazeti la al-Watan linalounga mkono serikali limemnukuu rais Assad akisema, serikali imefikia uamuzi wa kuikomboa nchi nzima ukiwemo mji wa Aleepo. Kauli hiyo imekuja wakati jeshi la serikali limekuwa likipata maendeleo katika medani ya vita, na habari mpya zinasema, jeshi hilo limetwaa tena eneo la mji mkongwe la Aleppo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako