• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya na Tanzania zinapoteza ushuru wa mauzo ya ngozi kutokana na magendo

    (GMT+08:00) 2016-12-08 18:03:08

    Ripoti mpya inaonyesha kwamba serikali za Afrika mashariki zinapoteza karibu dola milioni 30 za ushuru ambao haujalipwa kwa ngozi ambazo zinauzwa nje ya kanda hiyo kimagendo.

    Kutokana na hali hiyo kampuni za ngozi nchini Kenya na Tanzania zimepunguza uzalishaji wake na kufuta wafanya kazi .

    Stakabadhi zinaonyesha kwamba angalau makontena 65 huondoka katika bandari ya Mombasa kila mwezi yakibeba ngozi lakini yanabadikwa majina ya bidhaa zilizoaharibika.

    Pia maafisa wa forodha wanadaganya kuhusiana na uzani wa makanotena kwa kuandika kuwa kila kontena la futi 20 za ujazo ina tani 13 tu ilhali ina tani 25.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako