• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sherehe ya utoaji wa tuzo za Nobel ya mwaka 2016 yafanyika nchini Sweden

    (GMT+08:00) 2016-12-11 16:33:41

    Sherehe ya utoaji wa tuzo za Nobel za fizikia, kemia, fiziolojia au tiba, fasihi na uchumi ilifanyika jana huko Stockholm, Sweden, ambapo mshindi wa tuzo ya fasihi Bob Dylan hakushiriki.

    Washindi hao ni pamoja na mshindi wa tuzo ya fizikia David J. Thouless, Duncan Haldane, na Michael Kosterlitz, mshindi wa tuzo ya kemia Jean Pierre Sauvage na Fraser Stoddart, mshindi wa fiziolojia au tiba Yoshinori Ohsumi, mshindi wa tuzo ya fasihi Bob Dylan pamoja na mshindi wa tuzo ya uchumi Oliver Hart na Bengt Holmstrom.

    Wajumbe muhimu wa familia ya kifalme wa Sweden, viongozi wa kisiasa pamoja na watu kutoka hali mbalimbali 1,500 walishiriki katika sherehe hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako