• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Gentiloni ateuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Italia

    (GMT+08:00) 2016-12-12 10:33:10

    Waziri wa mambo ya nje wa Italia Bw. Paolo Gentiloni ameteuliwa kuwa waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Italia kufuatia kujiuzulu kwa Bw. Matteo Renzi. Baada ya majadiliano ya siku tatu na viongozi wa vyama mbalimbali vya kisiasa, rais Sergio Mattarella wa nchi hiyo amemwita Bw. Gentiloni na kumpa jukumu la kuunda serikali mpya. Bw. Renzi aliondoka madarakani Desemba 7, baada ya kushindwa kwenye upigaji kura za maoni kuhusu marekebisho ya katiba aliyopendekeza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako