• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kufanya maombolezo ya kitaifa kwa watu waliouawa katika mauaji ya Nanjing

    (GMT+08:00) 2016-12-13 19:03:56

    Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China na baraza la serikali la China leo asubuhi zimefanya maombolezo ya kitaifa kwa watu waliouawa katika mauaji ya Nanjing.

    Akizungumza kwenye maombolezo hayo, mjumbe wa ofisi ya siasa ya Kamati Kuu hiyo Bw. Zhao Leji amesema, maombolezo hayo yanafanyika ili kulinda kumbukumbu na ukweli usiopingika, na kutarajia amani na kutaka kumalizika kwa vita na kurejesha amani duniani. Amesema kuwa, wachina watashirikiana na jumuiya ya kimataifa kulinda maadili ya kimataifa, haki ya kimataifa, matokeo ya ushindi wa vita kuu ya pili ya dunia, kushikilia kufuata njia ya kujiendeleza kwa amani, na kushikilia kuwa msukumo na mlinzi wa amani wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako