• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Viongozi wa Ujerumani na Ufaransa wapendekeza kurefusha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia

    (GMT+08:00) 2016-12-14 10:37:11

    Chansela wa Ujerumani Bibi Angela Merkel amekutana na rais Francois Hollande wa Ufaransa ambaye yuko ziarani nchini Ujerumani, na kujadiliana kuhusu haja ya kurefusha vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Russia. Bibi Merkel amesema, kutokana na utekelezaji mbaya wa makubaliano mapya ya amani ya Minsk, kuna haja ya kurefusha muda wa vikwazo hivyo. Imefahamika kuwa kurefusha vikwazo hivyo au la ni moja ya ajenda zitakazojadiliwa katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Ulaya utakaofanyika kesho huko Brussels.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako