• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yahimiza ujenzi wa vituo vya utamaduni katika nchi za nje

    (GMT+08:00) 2016-12-15 18:49:23

    China imeharakisha ujenzi wa vituo vya utamaduni wake katika nchi za nje, na mpaka sasa kuna vituo 30 vya utamaduni wa China katika nchi 20 zikiwemo Mauritius, Benin, Misri, Nigeria na Tanzania barani Afrika.

    Msaidizi wa idara ya mawasiliano ya nje ya Wizara ya uUtamaduni ya China Bw. Zheng Hao amesema, mwaka huu vituo mbalimbali vya utamaduni wa China viliendesha shughuli zaidi ya 110 za utamaduni na sanaa, ambazo zimefurahiwa na wageni, pia zimewafanya kuelewa zaidi historia, jamii na utamaduni wa China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako