• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Washambuliaji 7 wenye uhusiano na kundi la IS wauawa na polisi huko Chechnya, Russia

    (GMT+08:00) 2016-12-19 09:18:59

    Kiongozi wa eneo la Chechnya nchini Russia Bw. Ramzan Kadyrov amesema, kikundi cha watu wenye uhusiano na kundi la Islamic State waliwashambulia maofisa wa polisi na kufyatuliana risasi na polisi mjini Grozny Jumamosi usiku hadi Jumapili alfajiri, ambapo washambuliaji 7 waliuawa, wengine wanne walikamatwa na ofisa mmoja wa polisi alipoteza maisha kwenye mapigano hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako