• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuimarisha mageuzi kuhusu utoaji bidhaa

    (GMT+08:00) 2016-12-19 19:32:59

    China itatoa kipaumbele mageuzi ya kimuundo kwenye utoaji wa bidhaa katika kazi zake za uchumi kwa mwaka ujao ili kuzoea na kuendana na hali mpya ya kawaida ya maendeleo ya kiuchumi nchini humo.

    Mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi wa China uliomalizika hivi karibuni, umesema mwaka 2017 ni muhimu katika kutekeleza mpango wa 13 wa maendeleo wa miaka mitano ijayo wa China, na umesisitiza umuhimu wa kuimarisha mageuzi kuhusu upande wa utoaji bidhaa.

    Mkutano huo pia umesema sekta ya kilimo na soko la nyumba vitatakiwa kufanyiwa mageuzi zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako