• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa wafanya kampeni ya kutoa chanjo kwa watoto laki 8 nchini Iraq

    (GMT+08:00) 2016-12-21 10:19:02

    Mamlaka za Iraq kwa kushirikiana na Shirika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF na Shirika la Afya Duniani WHO wamezindua kampeni ya siku 12 ya kutoa chanjo kwa watoto laki nane wenye umri wa chini ya miaka mitano, dhidi ya magonjwa ya polio, rubella na surua. Msemaji wa Umoja wa Mataifa Bw. Stephan Dujjaric amesema, inawalenga watoto katika majimbo ya Anbar, Salahaddin na Kirkuk pamoja na sehemu zilizokombolewa hivi karibuni za jimbo la Ninewah wakiwemo watoto wanaoishi kwenye kambi za wakimbizi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako