• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wenger: Ozil atawashangaza wakosoaji wake

    (GMT+08:00) 2016-12-26 09:26:17

    Mkufunzi wa Arsenal Arsene Wenger anasema kuwa kiungo wa kati wa timu hiyo Mesut Ozil atawashangaza wakosoaji wake katika mechi inayofuata.

    Ozil alikosolewa vibaya baada ya Arsenal kushindwa 2-1 na Manchester City. Lakini Wenger amesema kuwa Ozil kama wachezaji wengine shupavu katika timu yake amekuwa akichukua jukumu kubwa na hivyo basi hapaswi kulaumiwa sana.

    Anasema kwamba tatizo la Arsenal kupoteza mechi hiyo ilikuwa kushindwa kudhibiti mchezo katikati ya uwanja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako