• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jordan kutoa msaada kwa wakimbizi wa Syria katika majira ya baridi

    (GMT+08:00) 2016-12-27 10:34:00

    Jordan imetangaza mpango wake kuwasaidia wakimbizi wa Syria katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi nchini humo wakati wa majira ya baridi. Shirika la habari la Jordan limesema hatua zitakazochukuliwa ni pamopja na kuwalinda wakimbizi kutoka hali ya dharura kama vile mvua kubwa na mafuriko. Maandalizi hayo yanafanywa na mashirika ya huko na ya kimataifa katika kambi ya Zaatari yenye wakimbizi elfu 80 kutoka Syria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako