• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Nigeria lawakamata watu 1,240 wanaotuhumiwa kuwa wafuasi wa kundi la Boko Haram kwenye msitu wa Sambisa

    (GMT+08:00) 2016-12-29 09:21:14

    Watu 1,240 wanaotuhumiwa kuwa na uhusiano na kundi la Boko Haram wamekamatwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Nigeria kwenye msitu wa Sambisa.

    Kamanda wa operesheni hiyo Meja Jenerali Lucky Irabor amewaambia waandishi wa habari kuwa, watuhumiwa 413 kati yao wanaume, 323 ni wanawake, 251 ni wavulana, na 253 ni wasichana.

    Habari nyingine kutoka wizara ya mambo ya ndani ya Niger zinasema kuwa wapiganaji 30 wa kundi la Boko Haram kwenye mkoa wa Diffa kusini mashariki mwa Niger wamejisalimisha kwa jeshi la serikali, na watapewa msamaha na kurudi tena kwenye jamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako