• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yakanusha habari kuwa Ndovu kutoka Zimbabwe ni malipo ya sare za jeshi la Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2016-12-29 19:39:38

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bibi Hua Chunying amesema kwamba habari zilizotolewa na vyombo vya habari vya nchi za nje kuwa mke wa rais wa Zimbabwe Grace Mugabe ametoa zawadi ya wanyamapori kwa bustani moja ya China wakiwemo Ndovu wadogo 35, Simba 8, Fisi 12 na Twiga mmoja, ni malipo ya sare za jeshi la Zimbabwe zilizotengenezwa na China.

    Amesema kwamba, Ndovu hao waliagizwa na bustani za wanyamapori za Shanghai, Beijing na Hangzhou, pesa zimepokelewa na idara husika za Zimbabwe. Ameongeza kuwa, hatua hiyo ni biashara ya kawaida ya wanyamapori hai, inaendana na mkataba husika wa kimataifa na sheria za China na Zimbabwe.

    Idara ya Misitu ya China pia imethibitisha kuwa Zimbabwe imeleta wanyama hao China, na kwamba hatua hiyo iko chini ya sheria ya vitendo vya kibiashara. Jumatano wiki hii, Idara hiyo iliidhinisha kuagizwa kwa wanyama kutoka Zimbabwe na kusema uagizaji huo unaendana na kanuni na sheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako