• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Uhuru Kenyatta atoa salamu za mwaka mpya

    (GMT+08:00) 2017-01-02 19:11:11

    Rais Uhuru Kenyatta ametoa salamu za pongezi za mwaka mpya kwa wakenya, na kusema ingawa mwaka jana Kenya ilikumbwa na changamoto ya ugaidi, ukosefu wa ajira na mgomo wa madaktari, wakenya wanatakiwa kuwa na imani na taifa lao.

    Amesema wakenya wanapaswa kuendelea kuwa na dhamira ya kupambana na matarajio ili kufanya nchi yao iwe na utulivu na ustawi

    Akizungumza kuhusu uchaguzi ujao, rais Kenyatta amesema, anatarajia wakenya watakuwa watulivu na mshikamano, na kutoathiriwa na makundi ya nje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako