• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hillary Ojwang mfungaji bora KPL Under 20

    (GMT+08:00) 2017-01-03 10:16:07

    Kinda wa Gor Mahia, Hillary Ojwang ndiye mshindi wa tuzo ya mfungaji bora wa soka ya wachezaji wasiozidi umri wa miaka 20 ya wavulana ya KPL

    Mchezaji huyu alinyakua kiatu cha dhahabu baada ya kumaliza mashindano hayo na mabao sita, jijini Nairobi.

    Baadhi ya mabao Ojwang alifunga ni matatu katika ushindi wa Gor wa mabao 5-1 dhidi ya Ulinzi Stars katika mechi za makundi na bao moja dhidi ya Mathare United katika nusu-fainali.

    Mchezaji mwenzake Nahashon Thiong'o alimaliza mashindano na magoli matano.

    timu ya Ingwe iliibuka mshindi wa pili wakati Gor Mahia ilimaliza nafasi ya tatu .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako