• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Paul Clement awa kocha mpya wa Swansea City

    (GMT+08:00) 2017-01-06 10:16:56

    Klabu ya soka ya Swansea City imemtangaza rasmi Paul Clement kuwa ndio kocha wao mpya. Swansea City imempa kocha huyo mkataba wa miaka miwili na nusu. Paul Clement ambaye alikuwa kocha msaidizi wa klabu ya FC Bayern ya Ujeruamni, Mechi yake ya kwanza akiwa kama kocha mkuu wa klabu hiyo ilikuwa dhidi ya Crystal Palace ambapo alipata ushindi wa 2-1.
    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako